Bang Media

Saturday, December 24, 2011

Siri Mioyoni mwa Wanawake

Siri Zilizojificha Mioyoni mwa Wanawake
PENZI SALAMA

Mwanamke anapenda kupendwa! Mara nyingi wanawake ndiyo hasa huwa na mapenzi ya dhati zaidi kuliko wanaume. Mwanamke anapoamua kuwa na mpenzi wake, humpenda kwa moyo wake wote, hivyo hupenda kuwa salama katika penzi la dhati kwako.

Anapenda uhuru, anapenda kujisikia wazi kwako mahali popote. Mwanamke anajisikia vibaya sana anapokuwa hana uhuru hata wa kukushika mkono mnakuwa barabarani pamoja. Anapenda penzi la uwazi!

Endelea Kusoma

No comments:

Post a Comment