Bang Media

Tuesday, March 31, 2009

Tukifika mzunguuko wa 3 ni balaa

Tukifika mzunguuko wa 3 ni balaa!

Ngono ni sanaa

Jinsi ya Kusaidia Mmeo ktk Ngono

Uwazi katika ngono


"Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27, tatizo nililonalo ni kwamba kila nikifanya mapenzi na mpenzi wangu niliyenae napata Maumivu makali sana hasa kuanzia round ya 3 na kuendelea huwa si enjoy kabisaa.

Mpaka inafika wakati mpenzi wangu anaogopa kuendelea na hicho kitendo na pia inamuthiri kisaikolojia maana akishaniandaa akisema aingize tu anapata wasiwasi kama naumia na hapo hapo uume wake unasinyaa. Hata mimi Kisaikolojia huwa ninakuwa na wasiwasi najua akiingiza tu napata maumivu badala ya utamu,


Nisaidie kunishauri hasa Tatizo ni nini? kwakweli Mpenzi wangu amejaliwa kwa maumbile na Mara zote huwa Tunatumia kondom hatuwaji bila kondom, japo kuna wakati huwa siskii maumivu sana na enjoy tu, nipo kwenye dilema, sijui ni hizi kondom au ni maumbile. I used to enjoy making love kabla ya huyu nilienae lakini naamini naweza kuendelea kuenou tena."

Jawabu:
Kama ulivyosema kuwa mpenzi wako anamaumbile makubwa(amejaaliwa) huenda hilo likawa tatizo mnapofikia mzunguko wa tatu, vilevile inawezekana huwa hauna ute wa kutosha (kwa baadhi ya wanawake mzunguuko wa 3 huitaji kilainisho cha ziada kama mate au Kay Jel) hali inayoweza kukusababishia "sore" ukeni na hivyo kuhisi maumivu pale unapoingiliwa.


Pia inawezekana mpenzi wako anakwenda mwendo mrefu zaidi hali inayoweza kusababisha mafuta ya Condom kukauka, ute wako kidogo kukauka na uke kuwa mkavu bila yeye kujua....kwa kawaida ukitumia Condom kwa zaidi ya dakika 15 au pale unapohisi ukavu unapaswa kubadilisha na kuvaa mpya.


Unajua baadhi ya wanaume wanaongeza "mwendo" kutokana na mzunguuko, mfano ikiwa mzunguuko wa kwanza ulimalizika haraka labda ndani ya Dk 10, mzunguuko wa pili unaweza kumchukua Dk30, Mzunguuko wa tatu ukaenda Dk45 mpaka saa na kuendelea. Hivyo inawezekana kabisa kuwa mpenzi wako huwa anakwenda mwendo mrefu mpaka wewe unaishiwa hamu ya kuendelea.....pamoja na kuwa alikuandaa na akaindia vizuri hali hubadilika kutokana na "urefu wa safari".


Kitu kingine inawezekana ni mkao/mtindo mnaotumia kufanya mapenzi, kumbuka kuna mikao/mitindo mingine husababisha maumivu kwa mwanamke lakini utamu kwa mwanaume, hivyo unapaswa kutambua mikao gani inawafaa wote wawili au kubadili kila baada ya muda fulani kuliko kushupalia mkao.mtindo mmoja mwanzo mpaka mwisho.....hasa kama mkao huo ndio unakusababishia Discomfort.


Nini cha kufanya-Kama hustahimili mzunguuko wa tatu ambao labda ni mrefu lakini yeye haridhiki mpaka apige bao la tatu basi msaidie kwa kumpa mikono au mdomo na utakapohisi kuwa anakaribia jirushe au jigeuze ili akuingilie ukeni wakati bado uko "tayari" hali itakayokufanya uepuke maumivu kwani hatokupeleka mwendo mreeeefu nakusababisha maumivu.

No comments:

Post a Comment