Bang Media

Tuesday, March 31, 2009

Ni Vigumu kwa Mke Wangu Kufika Kilele

Ni Vigumu kwa Mke Wangu Kufika Kilele

Mwanamke na kufika kileleni

Kutongonolewa vema

Ukamilifu wa mwanamke katika Ngono

Sehemu tofauti za utamu wa ngono kwa wanawake

Jinsi ya Kufurahisha mwanamke Katika Ngono

Ngono ni sanaa


"Sasa basi nianze kwa suala langu la msingi ambalo nalileta hapa kwa ajili ya kuomba msaada wa ushauri. Mimi ni kijana wa miaka takribani 30 hivi na niko katika ndoa na mke wangu mwenye miaka 27 kwa mwaka wa pili sasa, ni miezi michache iliopita tumejaaliwa mtoto.


Sie hua na tabia ya kukutana kimwili kadri mmoja wetu anavyojiskia. Yaani namaanisha hatuna ratiba ya kua ni mara ngapi kwa wiki lazima tukutane, hivyo basi yaweza kutokea tukakutana mara 3 kwa wiki ama pia ipite mwezi hatujakutana.


Kitu ambacho nimekihisi pengine ni cha kinyume kwa mke wangu ni kua wakati tukitiana ni ngumu sana kumfikisha kileleni yeye kwa njia ya kawaida. Hapa namaanisha naweza kwenda mimi yeye akawa bado. Pia nikipumzika na kwenda mara ya pili naweza fika yeye akawa bado.


Mimi nimejaaliwa kuchelewa kufika kiasi kua kama sina usongo sana naweza tumia dakika 10 kufika kwa bao la kwanza, la pili linachukua muda zaidi hivyo naamini namsugua vilivyo mke wangu na kwa kawaida pia hua namtayarisha /tunatayarishana kwa muda kabla hatujaanza majamboz.


Nimejaribu hata kua namchezea kisimi chake kabla mimi sijapanda ili arizike lakini hua pia inamchukua muda mrefu sana kwa yeye kupiz kwa kuchezewa tu. Huwezi amani mpaka kidole/mkono unachoka kwa shuhuli hiyo. Kwa muda sasa niliamua kufanya ivyo ili nihakikishe yeye kapizi na mimi ndo napanda napiga yangu.


Hili linanisumbua kidogo as sielewi kua atakuwa anamatatizo au ni ipi suluhu ya swala hili. Naomba ushauri wa kina ili tuweze kufurahia ndoa yetu."

Jawabu:Kuchelewa kwa dk10 haitoshi kumfanya mwanamke afike kileleni hata kilele via Kisimi inaweza kuchukua dk15 kwa baadhi ya wanawake, ningekubali kuwa umajaaliwa kuchelewa kama ungekuwa unakwenda kwa angalau dk45 baada ya lile bao la kwanza ambalo mara nyingi huwa linawahi sana.


Pamoja na kuwa mwanamke anamchango mkubwa zaidi ili kufika kileleni wewe mwanaume unapaswa kujua mbinu nyingine za kumfikisha Mf-kumchezea kisimi mpaka anafika lafu ndio na wewe unaingia na kumaliza ng'we yako vilevile ujifunze mbinu za kujizuia ili yeye mkeo afikie kule kunako utamu zaidi ya mara moja kwa mpigo.


Ili kufika kileleni baada ya kujifungua mwanamke anahitaji ushirikiano wako hasa linapokuja suala la kukabiliana na majukumu kama mzazi/mama(anahitaji muda mwingi wa kupumzika) pamoja na kusema hivyo pia anapaswa kujifunza upya namna ya kufurahia na kulipenda tendo hilo, kuwa tayari kiakili na kimwili na kujituma wakati mchezo unaendelea.

No comments:

Post a Comment