Bang Media

Sunday, March 29, 2009

Ngono inazeesha

Ngono inazeesha!

Sote tunajua kuwa madhara makubwa ya kufanya ngono/mapenzi ni kuzaa bila kujiandaa na uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa ya zinaa ikiwa ni pamoja na kubwa lao UKIMWI.

Mwanamke anaefanya ngono na wanaume tofauti huzeeka haraka kuliko yule anaefanya na mpenzi wake mmoja kwa wakati. Baadhi ya watu (wajinga-wajinga) hudai kuwa ngono humkuza mtu (wanajaribu kujipa moyo) ukweli ni kuwa ngono na watu tofauti inakuchakaza.

Haikuchakazi maumbile yako (uke) tu bali kila kitu "kinasoromoka" a.k.a kulegea na kupoteza u-firm wake. Unapotoka kwenye uhusiano jaribu kujipa muda a.k.a pumzika kabla hujajikita kwenye uhusiano mwingine.

Inasikitisha unapokutana na binti wa miaka 18 lakini anaonekana kama ana umri wa miaka 28-32......that's sad!

No comments:

Post a Comment