Bang Media

Sunday, March 29, 2009

Kuchepuka kwa mwanaume

Kuchepuka kwa mwanaume!Kuna sababu kibao kwa nini anachepuka nazo ni kupata "attention", Mapenzi, kubadili "play list" I mean kufanya mambo mapya ambayo anadhani hujui au ikiwa yeye anajua basi anahisi hutokubali kuijaribu na kuridhisha uanaume wake (biology )......Waingereza wanamsemo wao unaokwenda hivi "Men have strong biological urges to knock on the door of neighbouring huts"....hey I'm not asking you to go and knock on ppl's huts utapigwa mshale!

Kuna baadhi ya wanawake huwa wanajisifia kabisa na kujiamini kuwa "mume wangu anaweza kupitisha siku 5 bila kunisumbua kutaka ngono", na wengine wanakwambia hawapendi ngono kwa vile hawasikii utamu au hawapati raha yake na baadhi wanaifanya kila siku lakini inafanywa kama wajibu....kumbuka tu mwanaume (ambae ni open minded ) hafanyi kwa vile anataka kumaliza hamu zake bali anafanya ili kukuridhisha nakukufurahisha, hivyo anategemea mfanye tendo hilo kwa ushirikiano.

Mwanaume mwenyewe mpenzi/mke wake bila kuchoropoka basi ujue ama anaridhishwa kuliko au anapigana sana na hamu yake ya kungonoka nje ya uhusiano wenu kwa vile anakupenda kwa dhati.

Sasa wewe kama mpenzi/mke lazima utakuwa ukimjua mwenza wako kingono-ngono na hivyo kama yeye kitu muhimu kwenye uhusiano wenu ni ngono(sex) basi ni wajibu wako kumrudisha mpenzi wako kwenye mstari kwa kuipa kipaumbele ngono kuliko mambo mengine.


Sababu za Kusaliti Pendo

Dalili kuwa mpenzi anatereza

Dalili za Uhusiano Unaoharibika

Yale yanayoweza kuharibu ndoa!

No comments:

Post a Comment