Bang Media

Tuesday, March 24, 2009

Jinsi ya Kungonoana kwenye Ujauzito

Jinsi ya Kungonoana kwenye Ujauzito

Baada ya kuandaliwa unalalia ubavu (natumaini ndivyo unavyolala kutokana na ukubwa wa tumbo) kisha yeye mpenzi wako analala kwa nyuma,kisha wewe unapanua mguu ili aweze kuingiza uume kisha rudisha mguu juu ya mguu mwingine (kama ulivyokuwa) na yeye anaendelea kukufanya taratibu mpaka wote mtakaporidhika au maliza haja zenu.

Vilevile mnaweza mkafanya kifo cha mende wewe ukiwa juu (kama umekaa vile) na hakikisha anakupeleka taratibu ikiwa huwezi ku-ride au kifo cha mende wewe juu lakini mpe mgongo (inaitwa doggie lakini sio hatari kama ile ya kuinama/bong'oa) nautazame miguu yake.

Kamwe usifanye mikao au mitindo mingine kama "doggie" zaidi ya hii mitatu.

No comments:

Post a Comment